|
Post by wanyee on May 9, 2006 21:49:19 GMT 3
Mzee,
I thought you'd enjoy that (and concur).
"Youth" in this context, is purely metaphorical.
Kwa hivyo, sote hapa katika Jukwaa, tunaweza kuwa vijana.
|
|
|
Post by roughrider on May 11, 2006 11:35:53 GMT 3
Examples of failed young leaders and not khamati would be a good way to begin with. ............................................................ Itabidii muingiane, if the majority decides it does not matter what parameters you use to evaluate their Interlect,. ............................................................. Ndauosa, Bi Khamati ni moja kati ya viongozi chipukizi walojitokeza ulingoni mwa siasa. Lakini nilimchagua kuwakilisha wanasiasa ambao, ingawa ni vijana kiumri, hawana msimamo wowote na wanaelekeza siasa na uongozi kupitia sera na misingi zile za ukabila. Hawa ndio wanaokubali kutumiwa na wanasiasa wakongwe kufanya rabsha. Labda wengine ni kama Mwangi Kiunjuri, Jokoyo Midiwo, Gor Semelango, Dimba Jakobuya na kadhalika. Ukichukua mfano mwingine: Mheshimiwa maalum Cess Mbarire ambaye bado ana damu ya ujana. Ni mara ngapi amesikika bungeni akijadiliana na wenzake kuhusu hoja za muhimu? Miaka nne baada ya uchaguzi na hatujui msimamo wake Cess katika maswala ya kiuchuimi na kijamii! Na eti anawasimamia vijana bungeni. Utakubaliana na mimi kwamba jambo hili linasikitisha mno. Nimesema mara kadhaa kuwa shida tulio nayo hapa Kenya ni ile ya kuvuka siasa za karne iliopita zilizoangazia ukabila na ubinafsi. Siasa zile za kumalizana; mtu mle mwenzako au 'man eat man' na kuanzisha siasa zenye misingi katika maudhui na dhamira za maendeleo, amani na utangamano katika jamii. Ujana ni moshi - walisema wakale - sio jambo la busara kufikiria kwamba umri wa mtu ni muhimu kushinda msimamo, usomi, hekima na utu.
|
|
|
Post by roughrider on May 11, 2006 11:47:10 GMT 3
Rough...Whatever, do not just be assumptious kilasiku, this was not a private but a CBO. Na ukae ukijua this is not a platform of weighing your knowledge,experience of age, and using it to get to others. If you wish to engauge in that kind of showbizz, you should count me out. English is a very ambiguos language for me that i always choose not to over indulge myself in on a demonstration stage, as you are advocating for. Sahau chali... I can see the intellectual properties you are talking about. And i guess the youth do not have that, and that does not mean we are to be pissed off, kwasababu Umesema....No.. Nyinyi ndio hao. This is a terrible misreading. I am not here for a contest or some kind of 'showbiz', as you put it. But I believe that ideas and opinions must be tested - we should challenge even what seems obvious. This is what these pages are for. The aim is not to intimidate or confuse anyone, but rather to question positions and arguments in the hope that what is best for our 'developing' country might come out. Naturally, sometimes you and I will overstep; but that is why we are blessed with a hawk eyed moderator.
|
|
|
Post by museveni on May 12, 2006 1:16:10 GMT 3
May I suggest a yourh party in Kenya that is independent of the existing ones ? I see it as the first step towards empowering mwananchi as well as routing out the old time politicians who do not seem to change with the times.
Let us follow the south American example. Let us give the current crop till 2012, and then we take over. I am willing to spearhead this new revolution.
Is anyone with me on this one ?
|
|